Mke wa Kafulila ni Jembe Sana

Nitajulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
328
Reaction score
355
Natumaini wana janvi wote wazima wa afya,nimelazimika kuandika Uzi huu baada ya kusikiliza maelezo ya mke wa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Bi Jesca Kishoa Kafulila!
Nimeshindwa kuleta video yake hapa kwa sababu sina utaalamu huo lakini nawaombeni mwendeni Utube msikilize maelezo yake naamini kila mtu atafurahia km nilivyofurahia mm!!
Hata hivyo tunahitaji wanawake ka Jesca Kishoa ili nchi yetu iweze kujikomboa kifkra,kimtazamo,na kimaendeleo ya jamii kwa ujumla.Asante sana Jesca Kishoa!!!
 
Mtu anamdhalilisha mumewe unasema jembe! Ningekuwa Kafulila ningeachana nae, hakuna mwanamke timamu wa kwenda kuhorojoka mbele ya vyombo vya habari kisa mumewe kuhama.

Isitoshe hata jina la Kafulila kalifuta FB yake, kabakisha Jesca Kishoa... sasa huyu ni mwanamke.gani!

Aendelee kuliwa huko aliko ili apate viti vya mababies.
 
Hata kama mmewe kabebewa akili aseme he wala? Ujinga huo
 

Kashakudanganya na video ya kutengeneza akitoka hapo anaenda kumtandikia kitanda kafulila na kumvulia chupp..kuna njia nyingi za kutafuta maisha na kiki acha ubwwgge wewe!..hao ni mume na mke wanalala kitanda kimoja!! Wanayoongea kitandani ni tofauti na hayo ya kwenye TV
 
Nimempenda huyu dada kwa kujitambua kiasi hiki. Kama mume ni tumbili basi ni tumbili tu kamwe hastahili kuheshimiwa na mkewe. Unafanyaje maamuzi ya kuhama chama bila kumtaarifu ubavu wako na kumuacha naye asikie kwenye vyombo vya habari kama Watanzania wengine. Tumbili hamkutendea haki mkewe na hili limeingiza dosari kubwa sana kwenye ndoa yao na sitashangaa kama miezi sita ijayo hii ndoa itakuwa imevunjika.

 
Umeoa ?
 
Wengi wanaoshabikia huyu mama aidha ni wavulana au hawajaoa. Mke au Mume lazima umsitiri! Siri za ndani lazima uzitunze! Unakumbuka rose kamili alijibu nini baada ya Dr Slaa kuondoka CDM! Pamoja na kuachana bado wanaheahimiana. Ni aibu na inaonyesha hajitambui kindoa
 
Kwa hiyo na wewe ukaamua kumuamini mke wa Kafulila kwa alivhokisema?
 
Naona anasoma waraka alioandikiwa.
Kumbe anayoyaongea hayatoki moyoni.
 
Hizo dalili za mwanamke anayechapwa nje
Inawezekana ukawa mkweli, mke anayetunza utakatifu wa ndoa hawezi kuwa vile, kwa upande mwingine ni m binafsi na woga wa kuvuliwa ubunge viti maalum.
Mwenye hekima hawezi kuwa upande wa huyu mwanamke
 
Ni kutojitambua tu na kukurupuka na kutomheshimu mkewe pia. Unafanyaje maamuzi kama hayo bila kumtaarifu mtu wako wa karibu? Labda hii ndoa iko juu ya mawe siku nyingi na hili lilikuwa halijukani hadharani sasa limejichomoza wazi hadharani.
Nakubaliana na wewe! Hakuna mawasiliano both sides ila Kati Yao kuna michepuko
 
Reactions: BAK
Na kitendo cha mkewe kuondoa jina lake la mwisho kwenye FB page yake jana la Kafululila ni ushahidi tosha kwamba ndoa hii imeyumba siku nyingi tu. Sasa sijui kama hii dhoruba inaweza kuimaliza kabisa ama wataweza kuinusuru ndoa yao.

Nakubaliana na wewe! Hakuna mawasiliano both sides ila Kati Yao kuna michepuko
 
Na kitendo cha mkewe kuondoa jina lake la mwisho kwenye FB page yake jana la Kafululila ni ushahidi tosha kwamba ndoa hii imeyumba siku nyingi tu. Sasa sijui kama hii dhoruba inaweza kuimaliza kabisa ama wataweza kuinusuru ndoa yao.
Ndugu yangu mambo ya ndoa waachie wenyewe! Kwa kawaida huwa nyingi zinarudi baada ya mahusiano mbadala ya mwanamke kuwa shubiri. Ukiona mwanamke anapandisha sijui kwa mumewe jua kuna mwanaume mwingine yupo nyuma yake! Nazungumza hili kwa kujiamini maana yashanitokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…