Nitajulikana
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 328
- 355
Natumaini wana janvi wote wazima wa afya,nimelazimika kuandika Uzi huu baada ya kusikiliza maelezo ya mke wa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini Bi Jesca Kishoa Kafulila!
Nimeshindwa kuleta video yake hapa kwa sababu sina utaalamu huo lakini nawaombeni mwendeni Utube msikilize maelezo yake naamini kila mtu atafurahia km nilivyofurahia mm!!
Hata hivyo tunahitaji wanawake ka Jesca Kishoa ili nchi yetu iweze kujikomboa kifkra,kimtazamo,na kimaendeleo ya jamii kwa ujumla.Asante sana Jesca Kishoa!!!