Mke wa Kafulila ni Jembe Sana

Akihamia tu CCM najua utamponda wewe,unakumbuka Lawrence Kego Masha alipokuwa anapigania raisi wa TLS?ulimsifu sana hata kama hukuandika humu,ningeweza kuwaona jirani zako huko Arusha au Mbeya na hata kilimanjaro au huko ulipo musoma wangesema ni kweli.Watu kama nyie mna mawazo mgando,hamuangalii nje ya box,uko radhi ufiche matatizo kwa sababu yapo nyumbani kwako.Mwenye kiti wa ccm kila miaka kumi nadhani anabadilika na hata juzi uzi wa kuongeza muda wa raisi Magufuli ulipinga lakini mwenyekiti wenu hataki mabadiliko anataka kuwa yeye tu mwenyekiti.
 
Nimekuwa mwanafizikia. Ongeza na ujinga wake. Mke aliyefundwa hawezi kutoa Siri za familia hadharani unakumbuka Clinton na mkewe. Siku ingine atatoa Siri za kibamia Cha mumewe wewe subiri
Yawezakana haujawahi kuwa katika siasa. Siasa inawezwa kufananishwa hata na imani ya dini. Jesca alikuwa anaongea na waandishi WA habari kuhusu siasa na mustakabali wa nchi. He,ulitaka aongee kuhusu anavyompenda au kumjali Kafulila aache kuzungumzia nchi kwa ujumla. Hatuoi wake zetu ili watufichie ujinga au kututkuza kama wanaume.
Funguka mtu wa Mungu. Toka ndani ya kasha! Kama mtu alidiriki (hali halisi inavyoonesha) kuhama chama bila mkewe kutaarifiwa ulitaka ampetipeti mabegani na kumbusu mtu ambaye hamjali? (kupenda). Hii one sided love mnayoing'ang'aniza ni utumwa. Muiache. Jesca ni grown up lady? Hayo mnayoyakazania hayajui? Na kumbuka, yeye ndiye mke wa Kafulila. Kutaka kumuwekea mtu mzima maneno ya kusema mdomoni is quite wrooooooong! Je, tunamjua Kafulila kuliko Jesca?
 
Anatakiwa kumheshim mumewe, siasa isiingie kwa ndoa
 
Sikiliza mahojiano bila jazba utaelewa. Kwa mtu kufanya jambo kama kafulila bila kumshiriki mwenza wake ni vote of no confidence ya hali ya juu! Huyu mama kalipiza kisasi tu. Kosa halihalalishi kosa ndugu yangu! Kwa taarifa yako nina uzoefu na siasa lakini alivyofanya si sahihi
 
Kwana kuna shida gani akiliwa analiwa kama anavoliwa mama ako tu 0713
 
Kumbe eenh!Basi, siasa haina urafiki/mpendwa wa kudumu. And the very vice versa is quite true!!
 
Kamuoe wewe basi.
 
Vipi wameachana?au amemuacha mumewe!
 
Acha kutafuta Huruma za watu. Kwa hiyo kafulila angejiunga hata na dini ya waabudu shetani ulitaka mke wake amfuate tu ?
Sijasema amfuate mume wake ila asizungumze masuala ya mume wake hadharani. Kama ni kusutana au kukanyana ni ndani ya chumba si nje ya chumba cha kulala. Hata watoto hawatakiwi kujua differences za wazazi sembuse wewe na mimi. Sitafuti huruma za watu ila nakupa mifano nao wakuelekeze maana mwenzangu inaonyeshe ni kinda katika masuala haya
 
Safi sana,naamin kila atakayesoma comment yako ataelewa vizuri sana!!
 
Sasa kwenye hiyo post umeona wapi,swala la ndoa,au ndio kuwashwa kwenyewe!!!
 
Ukiwa na maamuzi ya kipuuzi km kichwa cha nyumba lazima utegemee kukutana na mambo km hayo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…