Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa upumbavu wa Huyu mwanamke uko wapiImeandikwa 'mwanamke mpumbavu ataibomoa nyumba yake mwenyewe' mwisho wa kunukuu
Wengi wanaoshabikia huyu mama aidha ni wavulana au hawajaoa. Mke au Mume lazima umsitiri! Siri za ndani lazima uzitunze! Unakumbuka rose kamili alijibu nini baada ya Dr Slaa kuondoka CDM! Pamoja na kuachana bado wanaheahimiana. Ni aibu na inaonyesha hajitambui kindoa
Mku Mwanaume amejidhalilisha mwenyewe hivi mtu ndani mwaka mmoja ameshabadilisha vitatu huyu ukitaka kumwita jina baya hukosi la jina la kumwita. Mwanaume asiye na misimamo ni bure kabisa hata kuisaliti familia sio kazi ngumu kwa mtu kama huyuMtu anamdhalilisha mumewe unasema jembe! Ningekuwa Kafulila ningeachana nae, hakuna mwanamke timamu wa kwenda kuhorojoka mbele ya vyombo vya habari kisa mumewe kuhama.
Isitoshe hata jina la Kafulila kalifuta FB yake, kabakisha Jesca Kishoa... sasa huyu ni mwanamke.gani!
Aendelee kuliwa huko aliko ili apate viti vya mababies.
Ndoa yao ilifungwa kwa padre, sio kwa mwenyekiti wa chama.Nakubaliana na wewe! Hakuna mawasiliano both sides ila Kati Yao kuna michepuko
Maisha kusaidiana. Ukiona hivyo basi she is not a wife material.Huwezi kuwa baba wa nyumbani,halafu wife ndo atoke kutafuta hela,
lazima ndoa itayumba tu,
kafulila hakuwa na jinsi ila kurudi ccm labda watamkumbuka hata ukuu wa wilaya,
na wakimsahau anaweza hata kujinyonga huyu mtu
Wewe ni mwanaume lakini sio BABANimeona na nina watoto. Siwezi fanya maamuzi ya kitoto kama ya tumbili kuikosea heshima familia yangu na taifa kwa ujumla !
Mku Mwanaume amejidhalilisha mwenyewe hivi mtu ndani mwaka mmoja ameshabadilisha vitatu huyu ukitaka kumwita jina baya hukosi la jina la kumwita. Mwanaume asiye na misimamo ni bure kabisa hata kuisaliti familia sio kazi ngumu kwa mtu kama huyu
Wife material atakutetea hadharani ila atakunanga chumbani! Katika ndoa ya ukweli kosa la mmoja ni lenu wote. Waulize wife materials wa JF kama Sakayo Sky Eclat miss chagga PrincessAnne espy Numbisa Heaven Sent Nifah Clkey LadyAJ etc wakueleze ukweliUkifanya maamuzi ya kipuuzi mwenza wako akufuate tu ?
Namfahamu mke wa mwenyekiti wakati akisoma weruweru alikuwa wife material tangu akiwa binti mdogo ingawa alikuwa mtoto wa waziri. Ndo maana jamaa anang’ara katika chama sababu ya mkewe kumkubali na mapungufu yetu yote! Huyu wa kafulila ni shaize kwa kijerumaniNdoa yao ilifungwa kwa padre, sio kwa mwenyekiti wa chama.
David alikuwa cdm akafukuzwa akaenda nccr akarudi CDM na sasa amehama.
Mke hayawani. Ndoa ni bora kuliko siasa. Regina alimvumilia Lws. Mke wa DJ kavumilia pamoja na mume kuzaa nje.
Nimekuwa mwanafizikia. Ongeza na ujinga wake. Mke aliyefundwa hawezi kutoa Siri za familia hadharani unakumbuka Clinton na mkewe. Siku ingine atatoa Siri za kibamia Cha mumewe wewe subiriUsikariri maisha kama "Archimedes principle"!Kila mtu na mawazo yake yanavyomtuma.
Kafulila kaondokaje?Ameondoka kwa kuwadhihaki Chadema akisahau kabisa kuwa mkewe ni mmoja wa viongozi wa Chadema.Mazingira ya Kafulila kuondoka yalitaka pia kujenga taswira yenye kumtilia mashaka mkewe pia,na huenda hata kuhama kwa Kafulila hakumshirikisha mkewe!Kwa hiyo namuona Jesca kama mwanamke shujaa aliyethubutu kumwabia mwanaume wake ukweli unaomstahili kwa kuwa maamuzi yake yanahujumu jitihada kubwa zinazofanywa na wanachadema katika kujijenga kisiasa.Mtu anamdhalilisha mumewe unasema jembe! Ningekuwa Kafulila ningeachana nae, hakuna mwanamke timamu wa kwenda kuhorojoka mbele ya vyombo vya habari kisa mumewe kuhama.
Isitoshe hata jina la Kafulila kalifuta FB yake, kabakisha Jesca Kishoa... sasa huyu ni mwanamke.gani!
Aendelee kuliwa huko aliko ili apate viti vya mababies.
Akili zako ni fupi sana kwa nini unafikiria mambo ya kipumbavu tu?Wewe unafikiri na huko nako watu wanaweza kulipa tu?Unafikiri na wao wakimtamani mtu akiwakataa kwa kuwa kaolewa au anajiheshimu anatengenezewa mazingira ya kujulikana hafai iliaondolewe hadharani? Siyo wote wako hivyo kaeni na upuuzi wenu hukohukoMtu anamdhalilisha mumewe unasema jembe! Ningekuwa Kafulila ningeachana nae, hakuna mwanamke timamu wa kwenda kuhorojoka mbele ya vyombo vya habari kisa mumewe kuhama.
Isitoshe hata jina la Kafulila kalifuta FB yake, kabakisha Jesca Kishoa... sasa huyu ni mwanamke.gani!
Aendelee kuliwa huko aliko ili apate viti vya mababies.