Mke wa Kaka hataki kunifulia nguo

Hahahaha oa wako akufulie...unadhani upo kwenu Chato
 
Kama huvuti bangi sijui
 
Mke wa kaka yako ni mkeo pia?

Nyie ni kabila gani lisilo na adabu kwa kiwango cha lami namna hiyo?

Akufulie kawa mkeo huyo?
 
tiGo anakupa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…