Mke wa Kevin Hart ametisha sana! Kama FBI vile

Mzee wa hat-trick

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,730
Reaction score
2,388
Kevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito.

Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake. Mke kamsamehe jamaa kwamba kweli shetani alimpitia, ila AMETAKA PASSWORD ZAKE ZOTE NA AWE FREE NA SIMU ZA JAMAA WAKATI WOWOTE ANAPOTAKA, ili kuepusha shetani kupita tena.

Yan kitu chochote chenye namba ya siri au password ya aina yoyote, wife ametaka azijue, kuanzia akaunti, social networks, email etc, n simu awe nayo free kuikagua muda wowote anaotaka..!!

Hii ni zaidi ya FBI aisee.
 
Hajampa mimba huyo binti mwingine ni kwamba wali gegedana kwa siku tatu mfulizo tu
 
Kuna watu ni zaid ya Bin Laden, anakuachia password na simu zote wakati unajivinjari na yeye huko anafanya yake bila bughudha..kiroho safi.

Toka lini ibilisi akadhibitiwa kwa kuweka wazi password?
 
Ampe na password ya ndani ya zipu, maana huyo wa kuitwa shetani ndio anakaa huko huko.
 
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.

Karma...! Yeye alivyoiba alitarajia hataibiwa? Acha na yeye asikie vile inauma, alivyomtoa mwenzie alitarajia nini?
 
Sio kumpa mimba,ni mchepuko waligegedana tu huko lakini mwanamke alirekodi walivyo gegedana na kelvin hart
 
Kuna watu ni zaid ya Bin Laden, anakuachia password na simu zote wakati unajivinjari na yeye huko anafanya yake bila bughudha..kiroho safi.

Toka lini ibilisi akadhibitiwa kwa kuweka wazi password?

Watu tuna simu moja inayokaa kwenye toolbox ya gari.

Yote hayo mengine nakuachia. Na saa12 jioni niko nyumbani shetani aaendelea kupita tu
 
Heheheheee rahaa. ...

Utasema Kasie na mtu flani hivii.....

Hahahahahahhaaaa napita koo koo koo koo koo yuleeeeeh! !
 
Back
Top Bottom