Mke wa Kevin Hart ametisha sana! Kama FBI vile

Mke wa Kevin Hart ametisha sana! Kama FBI vile

Mimi kwa style hyo ni bora tu ASINISAMEHE ili nijue moja...!!!

Ila tatizo la wanawake, wanaongeaga kinyume. Akisema amekusamehe, usijiachie ukafikiri kweli, hapana.

Ikitokea siku shetani akikupitia na ukazaa na binti mwngine na yeye akajua, hiyo ndo itakuwa kma fimbo. Kila mkizinguana lazima akumbushie, hata kma mwanzo alikusamehe
 
huyu anataka presha wanawake wengine walivyo crazy unaweza kuta wanatuma message hata kama hawana uhusiano na j🙂amaa
 
Nawaona nawaona wanamume munavyosonya hahaaaa😀
 
Back
Top Bottom