Mke wa Kevin Hart ametisha sana! Kama FBI vile

Mke wa Kevin Hart ametisha sana! Kama FBI vile

sasa ratiba ya shetani itabidi abadilike akanunue changudoa asubuh amalizane nae aende kazini jioni arudi kwa mkewe
 
Mimi kama mwanaume nkiamua kucheat nacheat tu# ntakupa access zote ila jua ntafungua email mpy na fake id..ntamtafuta tu mchepuko# ninamarafiki naweza tumia simu zao# apo kafanya mambo kipumbavu mwanaume au mwanamke achungwi
 
passwords wala siyo tatzo njia za kucheat mbn zipo kibao otherwise hujaamua
 
Mimi kama mwanaume nkiamua kucheat nacheat tu# ntakupa access zote ila jua ntafungua email mpy na fake id..ntamtafuta tu mchepuko# ninamarafiki naweza tumia simu zao# apo kafanya mambo kipumbavu mwanaume au mwanamke achungwi
Ila utacheat kwa shida kidogo si kama awali
Japo nakubali si njia sahihi sana
 
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.

ukiona mwanaume anaku-cheat hadi mimba jua wewe kwenye ndoa ulikuwa unazengua au huna kitu cha kumpa tena au cha kumfanya awe na wewe
 
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.
Kumbe

Acha apambane na hali yake
 
Hawa wanaume wanojichetuaga na wake zao in public huwa wazinzi kweli.
 
Yupo sahihi ni mbinu nzuri ya kumdhibiti shetani lkn Bado Anaweza chepuka kiroho safi tu
 
Ndiyo hapo jamaa itazuka na kila kitu kipya kuanzia simu, email etc na si kwa majina yake ya ukweli! Na mke hatajua chochote kuhusu simu mpya. Chezeya wa upande wa kiumeni weye!

Kevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito.

Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake. Mke kamsamehe jamaa kwamba kweli shetani alimpitia, ila AMETAKA PASSWORD ZAKE ZOTE NA AWE FREE NA SIMU ZA JAMAA WAKATI WOWOTE ANAPOTAKA, ili kuepusha shetani kupita tena.

Yan kitu chochote chenye namba ya siri au password ya aina yoyote, wife ametaka azijue, kuanzia akaunti, social networks, email etc, n simu awe nayo free kuikagua muda wowote anaotaka..!!

Hii ni zaidi ya FBI aisee.
 
Back
Top Bottom