Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Hajampa mimba huyo binti mwingine ni kwamba wali gegedana kwa siku tatu mfulizo tuKevin Hart, ni American actor, alikutwa na skendo ya kumpa mimba binti mwingine wakati mke wake akiwa ni mjamzito.
Mke wake amejua, na jamaa akaomba msamaha kwa familia yake pamoja na fans wake. Mke kamsamehe jamaa kwamba kweli shetani alimpitia, ila AMETAKA PASSWORD ZAKE ZOTE NA AWE FREE NA SIMU ZA JAMAA WAKATI WOWOTE ANAPOTAKA, ili kuepusha shetani kupita tena.
Yan kitu chochote chenye namba ya siri au password ya aina yoyote, wife ametaka azijue, kuanzia akaunti, social networks, email etc, n simu awe nayo free kuikagua muda wowote anaotaka..!!
Hii ni zaidi ya FBI aisee.
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.Zari muige huyo
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.
Kuna watu ni zaid ya Bin Laden, anakuachia password na simu zote wakati unajivinjari na yeye huko anafanya yake bila bughudha..kiroho safi.
Toka lini ibilisi akadhibitiwa kwa kuweka wazi password?