Mke wa Kevin Hart ametisha sana! Kama FBI vile

sasa ratiba ya shetani itabidi abadilike akanunue changudoa asubuh amalizane nae aende kazini jioni arudi kwa mkewe
 
What goes around comes around
Ndo maana yake,hana jinsi inabidi asamehe tu.Maana hata yeye alianza kwa kucheat na huyo Kevin.Sema mke wa Kevin hakuwa na msalia mtume ikabidi aombe talaka yake.
 
Mimi kama mwanaume nkiamua kucheat nacheat tu# ntakupa access zote ila jua ntafungua email mpy na fake id..ntamtafuta tu mchepuko# ninamarafiki naweza tumia simu zao# apo kafanya mambo kipumbavu mwanaume au mwanamke achungwi
 
passwords wala siyo tatzo njia za kucheat mbn zipo kibao otherwise hujaamua
 
Mimi kama mwanaume nkiamua kucheat nacheat tu# ntakupa access zote ila jua ntafungua email mpy na fake id..ntamtafuta tu mchepuko# ninamarafiki naweza tumia simu zao# apo kafanya mambo kipumbavu mwanaume au mwanamke achungwi
Ila utacheat kwa shida kidogo si kama awali
Japo nakubali si njia sahihi sana
 
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.

ukiona mwanaume anaku-cheat hadi mimba jua wewe kwenye ndoa ulikuwa unazengua au huna kitu cha kumpa tena au cha kumfanya awe na wewe
 
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.
Kumbe

Acha apambane na hali yake
 
Hawa wanaume wanojichetuaga na wake zao in public huwa wazinzi kweli.
 
Yupo sahihi ni mbinu nzuri ya kumdhibiti shetani lkn Bado Anaweza chepuka kiroho safi tu
 
Wale wale tu,huyu mke wa sasa wa Kevin alikuwa mchepuko.Mke mkubwa alivyogundua akafile for divorce.Mchepuko kaolewa nae kachitiwa tena.Ndo maana kasamehe tu.
Mwizi akiibiwa huumia sana
 
Hahahahahahaha lol! Best weye mbinu zipi hutumia kupambana na shetani?

Kumzuia shetani kupita sio kazi ndogo

Na ajiandae kujibu matumizi ya kila senti atakayotumia
 
Ndiyo hapo jamaa itazuka na kila kitu kipya kuanzia simu, email etc na si kwa majina yake ya ukweli! Na mke hatajua chochote kuhusu simu mpya. Chezeya wa upande wa kiumeni weye!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…