Mimi kwa style hyo ni bora tu ASINISAMEHE ili nijue moja...!!!
Ila tatizo la wanawake, wanaongeaga kinyume. Akisema amekusamehe, usijiachie ukafikiri kweli, hapana.
Ikitokea siku shetani akikupitia na ukazaa na binti mwngine na yeye akajua, hiyo ndo itakuwa kma fimbo. Kila mkizinguana lazima akumbushie, hata kma mwanzo alikusamehe