Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake aidha
"Ninachokiomba mama unirudidhie mume wangu mimi ni mama wa Watoto wawili, Watoto wangu bado wadogo, wanaitaji malezi ya baba yao pia namuhitaji mumeo wangu kwa sababu yeye ndiyo msaada wangu sina kimbilio sina msaada wangu mwingie isipo kuwa kwako mama."
"Naomba unisaidie kwenye hili mama yangu ni najuwa unauwezo, unanguvu na mamlaka ya kufanya chochote kwenye hili, nimekuja kwako mama".
Hii ni ya mda . It's about a month now.
Ilikuwa kabla mwandishi wa mwananchi hajamwaga ugali wa Kiboko ya Wachawi.
Ulisukwa mpango kabambe kumrudisha nchini. Mamilioni mengi yalitolewa kwa wenye ushawishi ili jamaa arudi. Baada ya kuharibika mpango hata watetezi wakatulia.
Huyo si mke wake mdada tu alipangwa
Nafikiri katika hizi dini wakristo tunaongoza kwa huu upuuzi wa kufanya watu kama Malaika kama sio miungu. Jitu la hovyo namna hii bado kuna watu wana ujasiri wa kumlilia
Yeye awahangaikie wanaye tu kama wanawake wengine. Ikishindikana, mumewe yuko Lubumbashi amfuate mbona passport bei rahisi.
Yaani kumrudisha Tanzania yule Pastor na matusi na dharau alizotuonyesha kwenye mitandao basi Watanzania tutakuwa wajinga sana. Kuna clips anatamba anajenga nyumba kwa hela alizovuna Tanzania, kuna clip anaonyesha kuwa Watanzania ni Wajinga kwa kumfuata yeye