Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake

Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake

Hii ni ya mda . It's about a month now.
Ilikuwa kabla mwandishi wa mwananchi hajamwaga ugali wa Kiboko ya Wachawi.
Ulisukwa mpango kabambe kumrudisha nchini. Mamilioni mengi yalitolewa kwa wenye ushawishi ili jamaa arudi. Baada ya kuharibika mpango hata watetezi wakatulia.
Huyo si mke wake mdada tu alipangwa
Kumbeee...
Ndo maana iliposhindikana ameanza kutukana hovyo
 
Kweli Wanawake huwa ni wagumu kuelewa hadi waone damu imetoka maskioni
 
Mfate huko huko, ila wanawake, mnaolewaga na matapeli mnaenda tu, mpaka mnazaa. Sasa atakutoa kafara wewe kwa anili ya kanisa

Halafu yakiwashinda wako vimbelembele kulaumu serikali imewaacha wateseke. Kuna wakati lazima wanaume kuwa na misimamo kuokoa haya maangamizi
 
Cz Nakumbuka Yule mhalifu wa SA alikamatwa Arusha akakabidgiwa kwa serikali ya SA.

Unless otherwise wakongo wataendelea kutuchezea sanaa.
Hawajaguswa pabaya wakiguswa wenyewe mbona kumkamata ni chapu na kwa haraka?
 
Back
Top Bottom