Mke wa kipofu anachepuka!!!

Mke wa kipofu anachepuka!!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu ni hivi!!
Mke wa kipofu anachepuka na kiziwi! Na kuna bubu ndie anaejua stori zote kuwa mke wa kipofu anachepuka na kiziwi!! Sasa huyu bubu anataka kwenda kumwambia kipofu!! Vipi hapa wakuu huyu bubu atumie njia gani!!!
 
mwambie atumie njia hiyo hiyo aliyotumia kuchepuka
 
Mgando kivipi mkuu[emoji134] [emoji134]
 
Toka ulivyoamshwa na house girl kwa kupigwa na mwiko kichwani ukale ugali kwa mama akili zimeisha
 
Back
Top Bottom