Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambie atumie njia hiyo hiyo aliyotumia kuchepukaWakuu ni hivi!!
Mke wa kipofu anachepuka na kiziwi! Na kuna bubu ndie anaejua stori zote kuwa mke wa kipofu anachepuka na kiziwi!! Sasa huyu bubu anataka kwenda kumwambia kipofu!! Vipi hapa wakuu huyu bubu atumie njia gani!!!
Shule zimefungwa nn?Watoto wamezidi JF nowadays
Short and clearmwambie atumie njia hiyo hiyo aliyotumia kuchepuka