Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri

Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri

Bubu atamwambia anaeona na kusikia kwa ishara halafu nae ataenda kumwambia asieona.
 
Mke wa kipofu anatembea na kiziwi kwa siri lakini anaejua siri hii ni bubu.
Je bubu atatumia njia gani kumwambia kipofu kua mkewe anatembea na kiziwi?
Kitu cha kwanza nimeangalia tarehe yako uliyojiunga JF
 
jibu swali mkuu, wewe sema tu una IQ ndogo basi.
Kwani ww aliekupa hiyo Siri ni nani?
Aliekupa hiyo Siri ndo huyo huyo atakae mwambia kipofu na kwakua hata ww unaijua unaweza kumwambia kipofu

Ukikua utaacha.
 
Hata wewe mleta mada unaweza kuwa ndio huyo bubu ila hapa umetumia maandishi kwa hivyo unaweza kutumia nji hii hii ya maandishi kumfikishia ujumbe huyo kipofu.
 
Acha watembeleane wewe inakuhusu nini
 
Atajua tu maana wakati wanatembea na kipofu alikuepo. Mkewe ndo anamuongoza njia kipofu
 
Mabubu wengi wanajua kusoma na kuandika.
Ataandika hivi"mkeo analiwa tunda kimskhara na Zero IQ "
 
Mimi naona Yuko sahihi mkuu..........sababu bubu,kiziwi na kipofu wore ni walemavu tofauti ni kwamba MACHO ni ubongo,na ukiwa unakula na kipofu usimkumbushe kuwa chukua nyama kwani atajihisi zilikuwemo nyingi zaidi hivyo huna upendo nae,hapo nashauri bwana bubu ASIMWAMBIE kipofu Bali atumie ISHARA kumtaka nayeye(heri kufa masikio sio macho,heri kufa masikio sio macho)
 
Back
Top Bottom