Mke wa kuoa anahitajika

Mke wa kuoa anahitajika

Comrade One

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
200
Reaction score
361
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko.

SIFA ZANGU
  1. Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
  2. Umri: Miaka 32
  3. Urefu: 175 cm
  4. Kabila: Mmakonde
  5. Elimu ya Dunia: Shahada ya kwanza ya Usimamizi wa Fedha
  6. Kazi:Mwajiriwa & Mjasilia Mali
  7. HIV: Negative
SIFA ZA NIMTAKAYE
  1. Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
  2. Umri: 25 - 30 Miaka
  3. Urefu: wowote
  4. Kabila[emoji38]ote
  5. Elimu ya Dunia: Kuanzia Stashahada hadi shahada
  6. Kazi: Yeyote halali
  7. HIV: Negative(Itatubidi tukapime woote pamoja)
  8. Awe mwenye kujua kuilinda fedha(Sio Mfujaji)
N.B: Awe mwenye uwezo mkubwa wa kunishauri katika mambo ya kimaendeleo na Kidini.

Mwenye kuona anakidhi vigezo tuwasiliani PM
 
Duh naona wewe sio muisilamu swala tano....muislamu haswa hawezi kukosa mke misikitini....arafu sio tabia za waumini wa kiisilamu kutangaza mitadaoni kwasababu wanaamini kuoa ni ibaada na ibaada itaangazwi rudi mskitini kwenu umhusishie imama atakufanyia mchakato haraka...acha kuinga tabia za wenzake
 
Duh naona wewe sio muisilamu swala tano....muislamu haswa hawezi kukosa mke misikitini....arafu sio tabia za waumini wa kiisilamu kutangaza mitadaoni kwasababu wanaamini kuoa ni ibaada na ibaada itaangazwi rudi mskitini kwenu umhusishie imama atakufanyia mchakato haraka...acha kuinga tabia za wenzake[/
Wewe wasema...Ila ukweli me ndio naujua
 
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza,Nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko.

SIFA ZANGU
  1. Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
  2. Umri: Miaka 32
  3. Urefu: 175 cm
  4. Kabila: Mmakonde
  5. Elimu ya Dunia:Shahada ya kwanza ya Usimamizi wa Fedha
  6. Kazi:Mwajiriwa & Mjasilia Mali
  7. HIV: Negative
SIFA ZA NIMTAKAYE
  1. Dini:Muumini wa dini ya kiislamu
  2. Umri:25 - 30 Miaka
  3. Urefu:wowote
  4. Kabila[emoji38]ote
  5. Elimu ya Dunia: Kuanzia Stashahada hadi shahada
  6. Kazi:Yeyote halali
  7. HIV:Negative(Itatubidi tukapime woote pamoja)
  8. Awe mwenye kujua kuilinda fedha(Sio Mfujaji)
N.B: Awe mwenye uwezo mkubwa wa kunishauri katika mambo ya kimaendeleo na Kidini.
Mwenye kuona anakidhi vigezo tuwasiliani PM
Kazi kweli kweli
 
Duh naona wewe sio muisilamu swala tano....muislamu haswa hawezi kukosa mke misikitini....arafu sio tabia za waumini wa kiisilamu kutangaza mitadaoni kwasababu wanaamini kuoa ni ibaada na ibaada itaangazwi rudi mskitini kwenu umhusishie imama atakufanyia mchakato haraka...acha kuinga tabia za wenzake
Acha kutubania mkuu kama tangazo halikufai unasogea unaachia wenzako
 
Kuna thread nyingi za mtu kutafuta mwanamke wa kuoa, Au mwanamke kutafuta mwanaume.

Kwa nini nyie mlioanzisha hizo thread msitafutane wenyewe ili kurahisisha mambo, yani we unaenda kwenye thread ya mwanamke anayetafuta mume unamwambia Yaliyo moyoni, problem solve.....
 
Back
Top Bottom