Comrade One
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 200
- 361
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko.
SIFA ZANGU
Mwenye kuona anakidhi vigezo tuwasiliani PM
SIFA ZANGU
- Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
- Umri: Miaka 32
- Urefu: 175 cm
- Kabila: Mmakonde
- Elimu ya Dunia: Shahada ya kwanza ya Usimamizi wa Fedha
- Kazi:Mwajiriwa & Mjasilia Mali
- HIV: Negative
- Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
- Umri: 25 - 30 Miaka
- Urefu: wowote
- Kabila[emoji38]ote
- Elimu ya Dunia: Kuanzia Stashahada hadi shahada
- Kazi: Yeyote halali
- HIV: Negative(Itatubidi tukapime woote pamoja)
- Awe mwenye kujua kuilinda fedha(Sio Mfujaji)
Mwenye kuona anakidhi vigezo tuwasiliani PM