Mke wa kuoa anatakiwa 100%

Mke wa kuoa anatakiwa 100%

kwanini tu

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
50
Reaction score
63
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.

Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote, awe tu anajitambua hata kama ana tabia mbaya au ni single mother au ni divorced awe tayari kubadilika hela ninayo ya kutosha.

Uje inbox na wasifu wako na picha kuthibitisha kama kweli wewe ni mwanamke atakaewahi kama ana sifa zinazotakiwa nitamuoa siku si nyingi, muhimu HIV status uwe negative.
 
Ngoja nije [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mkuu watakuja wengi maana umesema fwedha unazo za kutosha, but mkuu kwani Germany haukupata kifaa?
 
Back
Top Bottom