Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU

Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU

Samia mwanamke mwenzako anatoa machozi Kwa ajili yako je humuonei huruma?

Kama huna huruma hata Kwa mwanamke mwenzako utakuwa na huruma Kwa watoto wanaoteseka huko mashuleni Kwa Miundombinu mibovu ya shule?

Sawa huna huruma Kwa wototo Wala Kwa mwanamke mwenzio, Huogopi Mungu ??
 
Vyeo vinafanya watu kuwa makatiri sana yaani unamtesa na kumkosesha haki binadamu mwenzio Kwa ajili ya cheo na Pesa !!
Chuki mtaani imeongezeka sana kwa hiki anachofanyiwa Lissu. Wananchi walio wengi (tena wenye mtazamo na itikadi tofauti za kisiasa na kidini) wanatambua fika Lissu anaonewa na utawala wa Rais aliyeko madarakani!

Ukiwauliza makada wa chama nao, baadhi wanasema kuendelea kumshikilia Lissu kunamuongezea tu umaarufu mara dufu! Na kwa sasa anaonekana kama ndiye shujaa wa Taifa!
Lakini pia wakati huo huo kushikiliwa kwake kunakididimiza chama kwa sababu kinakosa ushawishi wa wananchi.


Ukijumlisha na huu ugumu wa maisha uliotokana na kupanda kwa bei ya mafuta, vuguvugu lililo anza kupamba moto la Utanganyika na Uzanzibari!

Kwa kweli kazi ipo.
 
Alicia Magabe Lissu, mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza katika Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026.


View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=W3TwYxnjA2tClQrR

Inatia moyo kuona wanawake wakisimama mstari wa mbele na kuwa sauti imara katika majukwaa makubwa ya kimataifa. Alicia Lissu anaonyesha ujasiri mkubwa si tu kama mke wa kiongozi mkubwa sana barani Africa, bali kama mtetezi wa haki anayeweza kujenga hoja zenye mashiko mbele ya jumuiya ya kimataifa.
 
nadhani ni unafiki mtupu huo,
mtu anainjoy life halafu awe na uchungu?🐒
Active Moderator piga life ban hii takataka. Hatuwezi kuwa na jamii ya watu wenye dhihaka mbaya kiasi hiki. Hawa ndio wanapandikiza chuki kwenye jamii. Please just do the needful na Mungu wa Mbinguni atawabariki
 
Active Moderator piga life ban hii takataka. Hatuwezi kuwa na jamii ya watu wenye dhihaka mbaya kiasi hiki. Hawa ndio wanapandikiza chuki kwenye jamii. Please just do the needful na Mungu wa Mbinguni atawabariki
Gentleman,
just relax and avoid nonsense mayhem jukwaani, especially ikiwa uko pointless, plz 🐒
 
Back
Top Bottom