Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
nadhani ni unafiki mtupu huo,Alicia Magabe Lissu, mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza katika Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026.
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=W3TwYxnjA2tClQrR
Chuki mtaani imeongezeka sana kwa hiki anachofanyiwa Lissu. Wananchi walio wengi (tena wenye mtazamo na itikadi tofauti za kisiasa na kidini) wanatambua fika Lissu anaonewa na utawala wa Rais aliyeko madarakani!Vyeo vinafanya watu kuwa makatiri sana yaani unamtesa na kumkosesha haki binadamu mwenzio Kwa ajili ya cheo na Pesa !!
Inatia moyo kuona wanawake wakisimama mstari wa mbele na kuwa sauti imara katika majukwaa makubwa ya kimataifa. Alicia Lissu anaonyesha ujasiri mkubwa si tu kama mke wa kiongozi mkubwa sana barani Africa, bali kama mtetezi wa haki anayeweza kujenga hoja zenye mashiko mbele ya jumuiya ya kimataifa.Alicia Magabe Lissu, mke wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza katika Tume ya Haki za Binadamu ya Jumuiya ya Ulaya Juni 22, 2026.
View: https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=W3TwYxnjA2tClQrR
Gentleman,