USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.
Inadaiwa huo ulikuwa mpango wake wa muda tangu kuanza kuzungusha na Manara wakiwa Dubai huyo mrembo wa Shytown akazibeba na kufanya mchango na muhausa.
Inadaiwa kwa sasa yupo Dubai huku Manara akihaha polisi wamsake kwa kutumia polisi wa kimataifa interpol ili wamrudishe bongo.