Mke wa Manara aliiba Dora elfu 17,000 na kukimbilia Dubai

Mke wa Manara aliiba Dora elfu 17,000 na kukimbilia Dubai

Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.

Inadaiwa huo ulikuwa mpango wake wa muda tangu kuanza kuzungusha na Manara wakiwa Dubai huyo mrembo wa Shytown akazibeba na kufanya mchango na muhausa.

Inadaiwa kwa sasa yupo Dubai huku Manara akihaha polisi wamsake kwa kutumia polisi wa kimataifa interpol ili wamrudishe bongo.

USSR
Dola afu 17 manara azitoe wapi
 
Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.
Kwanza inabidi huyo Manara ashitakiwe kwa kuweka mafedha yote hayo ndani. Alitakiwa ayahifadhi benki.

Yaani hii chai ya leo imezidi chumvi tena, sasa hivi ni kuzushiana kwa kwenda mbele tu.
 
Kwa udhaifu mkubwa alionao Manara kwa mujibu wa Wanawake Wengine aliowahi kuwa nao tena hata kabla hajawa Maarufu ni Mwanamke Mpumbavu na Mwendawazimu pekee ndiyo ataweza Kudumu nae Kimahusiano.

Kuhusu Yeye Kuibiwa hizo Fedha nitakuwa wa mwisho Kuamini kutokana na kwamba Manara anapenda kuishi Maisha siyo yake ( siyo ya Kiuhalisia ) ili tu kubaki Juu Kiumaarufu ila ukweli ni kwamba kwa 99% anaishi kwa Kusaidiwa na Watu ( Marafiki Matajiri ) kutoka Uarabuni hasa kwa Kaka yake Mfadhili wa Timu Moja Kubwa nchini aishiye Dubai kwa Sasa ( japo Wadogo zake Wawili wanaishi Dar es Salaam Tanzania ) kwa Malipo ya Shughuli Maalum ambayo naomba nisiitaje kwa sasa Kimaadili
@GENTAMYCINE unajua sana uchambuzi.
 
Kwa manara na hata kwako unaeshinda jamii forums huwezi kuwa na usd 17000 ndani zimekaa tu. Waswahili hawana ujanja wa kutunza hela.

Hayo mambo kuna watu wengi tu wanayaweza. Ila sio Manara

Usd 17000 Hapo unaongelea milioni 40 cash. Mswahili anaanzia wapi kuwa na milioni 40 imekaa tu ndani
Kwa kuwa hauna unaziona ni nyingi sana, siku ya kuzishika mkononi ndiyo utabaini kuwa 17k ni mzigo wa kawaida kabisa.
Yaani hata ukiwa na kiduka cha kawaida Kariakoo haikutoshi kulipa kodi, narudia tena hiyo ni pesa ya kawaida sana kuwa nayo ndani labda kama unaishi kwa kutegemea kudakishwa kila mwisho mwezi.
 
Manara pesa hio angeibiwa mbona sasa hivi angekua marehemu na huyo dada angekua ananyea debe keko.Kwa mdomo wa Manara dunia nzima hadi Joe Biden wangeshajua...Labda Dollars za Zimbabwe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manara pesa hio angeibiwa mbona sasa hivi angekua marehemu na huyo dada angekua ananyea debe keko.Kwa mdomo wa Manara dunia nzima hadi Joe Biden wangeshajua...Labda Dollars za Zimbabwe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii nchi ngumu aisee, yaani mtu kawa maarufu kwa kutoka kwenye ndoa
 
Kinachouma zaidi ni kuwa kamlisha bure na kumpa bata kipindi chote icho bila ya yeye kumtumia vizuri. Wanaume tuna tabia ya kujifanya tunawaheshimu sana wake zetu hata kulala nao tunalal nao kistaarabu tafauti na vimada ambao hua tunajifua kwa zana zote kuanzia mikongo na vyenginevyo, Sasa yakitokea yakutokea unakua na machungu sana.
 
Back
Top Bottom