Hakunaga talaka 3 at per katika uislamu. Ukiacha mara ya kwanza ni talaka moja, mkirudiana na mume kuacha kwa mara ya pili talaka ya pili na mkirudiana na kuachana tena kwa mara ya tatu hapo ndo talaka 3 zimetimia ambapo baada ya hapo kumrudia mke kidogo shughuli.
So kama hii ni mara ya kwanza kuachana definitely hiyo ni talaka ya kwanza. By the way, hivi dunia ya leo, mwanaume ung'ang'anie mwanamke kweli? Maana naona duniani kote now wako wengi wa kila rangi na kila sampuli,[emoji38]. Wakikuzingua wamatumbi unashuka zako Latinos tu hapo au unavuka kwa Kagame unakuja na mbegu mpya[emoji38][emoji38].