Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hakuna utaratibu wa kutoa talaka 3 kwa wakati mmojaAngetoa talaka zote 3 kwa nini amempa moja mkubali mkatae ndugu yenu amepatikana safari hii mkiachwa muachike
Hela ya kawaida sana hiyo, acha dharau.Manara hana ujanja wa kuwa na dola elfu kumi na saba ndani
Hapo Sasa..anahaha km anakata rohoShida manara hataki kuachika jamani mkiachwa muachike
Hela ya kawaida sana hiyo, acha dharau.
Nakusahihisha zipo talaka tatu ila sio mpk mrudiane, Kila mwezi watoa Moja Tena sio mpk maandishi ht matamshi tu zinatimia 3 nduguHakunaga talaka 3 at per katika uislamu. Ukiacha mara ya kwanza ni talaka moja, mkirudiana na mume kuacha kwa mara ya pili talaka ya pili na mkirudiana na kuachana tena kwa mara ya tatu hapo ndo talaka 3 zimetimia ambapo baada ya hapo kumrudia mke kidogo shughuli.
So kama hii ni mara ya kwanza kuachana definitely hiyo ni talaka ya kwanza. By the way, hivi dunia ya leo, mwanaume ung'ang'anie mwanamke kweli? Maana naona duniani kote now wako wengi wa kila rangi na kila sampuli,[emoji38]. Wakikuzingua wamatumbi unashuka zako Latinos tu hapo au unavuka kwa Kagame unakuja na mbegu mpya[emoji38][emoji38].
Hela ya kawaida sana hiyo, acha dharau.
Elimu haina mwisho lakini hilo usemalo sina elimu nalo na sioni kwanini kila mwezi utoe talaka. Ukishatoa talaka moja, kimsingi hiyo ndoa imevunjika na yawezekana msirudiane tena maisha yote. Kurudiana si lazima hata kama talaka iliyotoka ni moja. Sasa why mume aandike talaka kila mwezi ili kuzifanya ziwe tatu??Nakusahihisha zipo talaka tatu ila sio mpk mrudiane, Kila mwezi watoa Moja Tena sio mpk maandishi ht matamshi tu zinatimia 3 ndugu
Kwa udhaifu mkubwa alionao Manara kwa mujibu wa Wanawake Wengine aliowahi kuwa nao tena hata kabla hajawa Maarufu ni Mwanamke Mpumbavu na Mwendawazimu pekee ndiyo ataweza Kudumu nae Kimahusiano.Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.
Inadaiwa huo ulikuwa mpango wake wa muda tangu kuanza kuzungusha na Manara wakiwa Dubai huyo mrembo wa Shytown akazibeba na kufanya mchango na muhausa.
Inadaiwa kwa sasa yupo Dubai huku Manara akihaha polisi wamsake kwa kutumia polisi wa kimataifa interpol ili wamrudishe bongo.
USSR
Uko sahihi pia broh Moja tu yatosha kutorudiana piaElimu haina mwisho lakini hilo usemalo sina elimu nalo na sioni kwanini kila mwezi utoe talaka. Ukishatoa talaka moja, kimsingi hiyo ndoa imevunjika na yawezekana msirudiane tena maisha yote. Kurudiana si lazima hata kama talaka iliyotoka ni moja. Sasa why mume aandike talaka kila mwezi ili kuzifanya ziwe tatu??
Kuwekwa talaka 1 hadi 3 miongoni mwa sababu ni kurahisisha kurudiana na kuweka ugumu wa kutalikiana lakini haina maana kwamba ili lengo la talaka litimie lazma ziwe tatu, la hasha. Yes, nakubaliana na ww talaka sio karatasi kwani hata maneno tu yanatosha au talaka ya kining'inia (Ukifanya hivi nitakuacha).
Ndiyo maana talaka haina utani na mwanaume anapaswa kujizuia na neno "talaka" kulitamka hovyo.
Huu ni upumbavu kabisa, huna ruhusa ya kummiliki mtuManara hataki yule binti apate raha ktk maisha yake
Hutaki au? Watu wa kawaida mno wanazo sembuse Manara? Tembea uoneManara hana ujanja wa kuwa na dola elfu kumi na saba ndani
Hili nalo nenoHivi ww unadhani dola elfu 17000 nisawsawa na shillingi elfu17000 ehhh!!???
Numbisa[emoji38][emoji38] majina mengine bhanaManara akubali safari hii kapata kiboko yake. Hata aliyenaye akijifungua tu atamvumilia kwa miezi kadhaa na kuanza kudai talaka. Jamaa ana mke ndani ila kutwa macho kodo nje
US Dollar mkuu unaona nyingi au? Pesa ya kawaida mno hiyoDola 17,000 za kizimbabwe