Mke wa Manara aliiba Dora elfu 17,000 na kukimbilia Dubai

Dola afu 17 manara azitoe wapi
 
Aliyekuwa mke wa Manara inadaiwa alimuibia semaji la wananchi dola za kimarekani elfu kumi na saba karibu million arobaini hivi za kitanzania na kumpa bwana wake wa Kinigeria.
Kwanza inabidi huyo Manara ashitakiwe kwa kuweka mafedha yote hayo ndani. Alitakiwa ayahifadhi benki.

Yaani hii chai ya leo imezidi chumvi tena, sasa hivi ni kuzushiana kwa kwenda mbele tu.
 
@GENTAMYCINE unajua sana uchambuzi.
 
Kwa kuwa hauna unaziona ni nyingi sana, siku ya kuzishika mkononi ndiyo utabaini kuwa 17k ni mzigo wa kawaida kabisa.
Yaani hata ukiwa na kiduka cha kawaida Kariakoo haikutoshi kulipa kodi, narudia tena hiyo ni pesa ya kawaida sana kuwa nayo ndani labda kama unaishi kwa kutegemea kudakishwa kila mwisho mwezi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii nchi ngumu aisee, yaani mtu kawa maarufu kwa kutoka kwenye ndoa
 
Kinachouma zaidi ni kuwa kamlisha bure na kumpa bata kipindi chote icho bila ya yeye kumtumia vizuri. Wanaume tuna tabia ya kujifanya tunawaheshimu sana wake zetu hata kulala nao tunalal nao kistaarabu tafauti na vimada ambao hua tunajifua kwa zana zote kuanzia mikongo na vyenginevyo, Sasa yakitokea yakutokea unakua na machungu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…