Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SadTatizo la wanaume mungu alivyootuumba tunaweza kukaa na vitu moyoni bila kumwambia mtu yoyote tena kwa mda mrefu lakini wanawake hawawezi hapo unaweza kuta hyo mzee aliyefariki uchumi uliyumba mwanamke akaanza dharau na kejeli na unyumba wakati mwingine hupewi na watoto unaambiwa kwanza hawa watoto sio wako mwanaume anaamua kupusha shari anaondoka anaaacha nyumba na watoto na hali ya sasa jinsi ilivyo mwanamke kila atakachoongea anakubaliwa na jamii sema wanaume wengi wananyanyaswa ila wakisema wanaonekana sio mashujaa.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hivi nchi ya Tanzania ina watu mbumbumbu kiasi gani jamani? Mtu umefiwa na uchungu, unapata nguvu wapi za kuanza kuhojiwa na ''waandishi wa habari'' na kuanza kuropoka vitu vya ndani kabisa ambavyo havitakupatia faida yoyote? Kwani huwezi kukataa? Kweli ukosefu wa elimu ni janga.Huu ni ukweli mchungu kabisa Mzee Atanas na hata familia kwa ujumla sio watu wa kushiriki misiba ya wenzao. Kwa ndugu na jamaa hili linazungumziwa sana. .
Hata msiba ulipotokea na nilipopata taarifa kila nayempigia simu alinipa jibu hili. Hata alivyokufa bibi yangu ambaye ni Shangazi yao ambaye ni bibi yangu kabisa hawakuleta ushirikiano mzuri. Bibi kazaliwa hapo walipozika kabisa. .
Marehemu hasemwi vibaya ila msim judge mama mwacheni. .
Safari yetu ni hii moja hata sisi tutapita. .
Huyu ni mwanamke aliyetelekezwa na mume. Ana kidonda kikubwa sana moyoni. Miaka yote hii alijihudumia mwenyew wakati mume yuko na mwanamke mwingine. Ulitegemea atasema nini?Hivi nchi ya Tanzania ina watu mbumbumbu kiasi gani jamani? Mtu umefiwa na uchungu, unapata nguvu wapi za kuanza kuhojiwa na ''waandishi wa habari'' na kuanza kuropoka vitu vya ndani kabisa ambavyo havitakupatia faida yoyote? Kwani huwezi kukataa? Kweli ukosefu wa elimu ni janga.
Hata kama alitengwa ila ukweli lazima usemweSasa kulikuw na haja ya kuongea yote ayo si una tulia tu usha tengwa mtu kafa ata ukiongea nani ana kusikia sa
Itamsaidia nini sasa anapohadithia ulimwengu mambo ya ndani ya familia yake? Unadhani familia nyingine hazina changamoto? Kuna familia zenye changamoto kuliko aliyopata huyu mama lakini hata siku moja husikii wanapayuka payuka kwa kila mtu. Haya ni mambo ya kusimulia watu wa karibu yake.Huyu ni mwanamke aliyetelekezwa na mume. Ana kidonda kikubwa sana moyoni. Miaka yote hii alijihudumia mwenyew wakati mume yuko na mwanamke mwingine. Ulitegemea atasema nini?
Waandishi ndio wajingaHivi nchi ya Tanzania ina watu mbumbumbu kiasi gani jamani? Mtu umefiwa na uchungu, unapata nguvu wapi za kuanza kuhojiwa na ''waandishi wa habari'' na kuanza kuropoka vitu vya ndani kabisa ambavyo havitakupatia faida yoyote? Kwani huwezi kukataa? Kweli ukosefu wa elimu ni janga.
Of course hawa siyo waandishi kwa maana halisi hivyo ni jukumu letu raia kujua haki zetu na kukataa kuingiliwa mpaka chumbani kwa mgongo wa kuhojiwa. Nilisikitika sana kuona majeruhi wanahojiwa wako hospital vitandani na wenyewe wanakubali tu.Waandishi ndio wajinga
SureOf course hawa siyo waandishi kwa maana halisi hivyo ni jukumu letu raia kujua haki zetu na kukataa kuingiliwa mpaka chumbani kwa mgongo wa kuhojiwa. Nilisikitika sana kuona majeruhi wanahojiwa wako hospital vitandani na wenyewe wanakubali tu.
Mahojiano mwanzo mwisho ni maneno hayo tuNa hapo anasemwa mtu ambaye hawezi kujitetea