kwanini tu
Member
- Nov 8, 2011
- 50
- 63
Bashite anapenda sana kusumbua watu wenye matatizo,yanini kuita wote kwa pamoja? Kwasasa kuna mifumo ya kielectronics kwanini ajitumie mifumo ya kisasa kugenerate access codes kisha awe anaotoa access code za watu wa kuja kuonana nao,sasa wamama wote wajazane mlimani city kweli ataweza wote kuwasikiliza kwa siku 1?
Mabinti wakuu wa wilaya wako wengi unamlenga yupi mkuu???
Huyo Zitto kwenye post ya huyu mama anaingiaje mkuu???Nimeweka comment ya Zitto na kashfa za ngono naona imeondolewa.
Labda nimeteleza sehemu lakini ushahidi wa kuvunja ndoa ya Meddy & Chifupa (RIP) upo kwenye Hansard za Bunge.
Thread: https://www.jamiiforums.com/threads/kashfa-nzito-zitto-vs-amina-chifupa.2787/
Mods acheni tuwaseme hawa jamaa ili wabadilike aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Post ya mwanzo ingekuwa haijafutwa ungeelewa boss.Huyo Zitto kwenye post ya huyu mama anaingiaje mkuu???