PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Funguka kidogo hata kwa code niweze kung'amua chochote!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funguka kidogo hata kwa code niweze kung'amua chochote!!!
kama hujui kitu we tuliza tuMabinti wakuu wa wilaya wako wengi unamlenga yupi mkuu???
[emoji106]kama hujui kitu we tuliza tu
Walienda kuambiwa wasiruhusu watoto wao wawe watu wa hovyohovyo kama piere.....Bado sijaelewa, hao wajane wanakwenda kusaidiwa nini?
Anataka kushindana na Jokate hana ubunifu
Tunaomba utudokezee vzr hapo huo ushahidi tafadhali Chifu.Nimeweka comment ya Zitto na kashfa za ngono naona imeondolewa.
Labda nimeteleza sehemu lakini ushahidi wa kuvunja ndoa ya Meddy & Chifupa (RIP) upo kwenye Hansard za Bunge.
Thread: https://www.jamiiforums.com/threads/kashfa-nzito-zitto-vs-amina-chifupa.2787/
Mods acheni tuwaseme hawa jamaa ili wabadilike aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
umbea FULLSasa si inasemekana ni mke wa Zitto. Ndo maana hakuitwa.