Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

Bado sijaelewa, hao wajane wanakwenda kusaidiwa nini?
 
Hope Marehemu Deo Filikunjombe angekuwa hai angekuwa mmoja ya mawaziri walio na wizara nyeti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dah hata hiki kifaa ni kijane...??? Naombeni mawasiliano yake tufute ujane nitamfanya hata lile gorofa alisahau...
 
Huyo naye aache kubwabwaja penshen yote aliyochukua hakuridhika?

God first
 
Back
Top Bottom