Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

Anataka kumfunika jokate , ile issue ya Jokate alitamani awe yeye ndio maana kaja na hili tukio kwa kipuuzi kwa kusumbua wajane

Na aliwasumbua haswa......... ingawa sasa yeye ubunifu ni zero kabisa walivyokuwa wanahangaika huko bara barani hakuna usafiri . Makonda na ndio maana Mungu akampa zawadi ya makalio makubwa ilihali ni mwanaume
 
Write your reply...wadau wanaomba picha ziongezwe,tafadhali
 
Bashite anapenda sana kusumbua watu wenye matatizo,yanini kuita wote kwa pamoja? Kwasasa kuna mifumo ya kielectronics kwanini ajitumie mifumo ya kisasa kugenerate access codes kisha awe anaotoa access code za watu wa kuja kuonana nao,sasa wamama wote wajazane mlimani city kweli ataweza wote kuwasikiliza kwa siku 1?
Mkuu mbona unataka afanye kazi inavyotakiwa wakati lengo lake ni usanii? Katika viongozi hovyo kabisa huyu jamaa ni namba moja!
 
Back
Top Bottom