Bunge hili hili lililokataa kufanya kazi na CAG?Nimeweka comment ya Zitto na kashfa za ngono naona imeondolewa.
Labda nimeteleza sehemu lakini ushahidi wa kuvunja ndoa ya Meddy & Chifupa (RIP) upo kwenye Hansard za Bunge.
Thread: https://www.jamiiforums.com/threads/kashfa-nzito-zitto-vs-amina-chifupa.2787/
Mods acheni tuwaseme hawa jamaa ili wabadilike aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kumfunika jokate , ile issue ya Jokate alitamani awe yeye ndio maana kaja na hili tukio kwa kipuuzi kwa kusumbua wajane
Statement yako inafikirisha sana!Anataka kushindana na Jokate hana ubunifu
Pension gani wakat mumewe alifariki wakati wa kampeniHuyo naye aache kubwabwaja penshen yote aliyochukua hakuridhika?
God first
Hapana. Bunge la Mzee Sitta. Mpakanjia (RIP) alifikisha nakala ya talaka 3 kwa Spika. Story nzima imo kwenye hiyo link.
Another new bif in the cityAdai alimfata makonda Toka mwaka Jana na hakumsaidia lolote.
Awaasa wajane wamtegemee mola peke yakeView attachment 1062486
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mume wake hakuchukua pension?Pen
Pension gani wakat mumewe alifariki wakati wa kampeni
kwa nn usianzishe thread yake separate, hii ibaki ya makonda na brainless yake
Walienda kuambiwa wasiruhusu watoto wao wawe watu wa hovyohovyo kama piere.....
Makonda taaila sana nimemshangaa sana anawaita wajane anaenda kuwaambia ushubwada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unataka afanye kazi inavyotakiwa wakati lengo lake ni usanii? Katika viongozi hovyo kabisa huyu jamaa ni namba moja!Bashite anapenda sana kusumbua watu wenye matatizo,yanini kuita wote kwa pamoja? Kwasasa kuna mifumo ya kielectronics kwanini ajitumie mifumo ya kisasa kugenerate access codes kisha awe anaotoa access code za watu wa kuja kuonana nao,sasa wamama wote wajazane mlimani city kweli ataweza wote kuwasikiliza kwa siku 1?
Wanaenda kumsaidia Makonda aonekane anafanya kazi wakati hafanyi chochote.Bado sijaelewa, hao wajane wanakwenda kusaidiwa nini?
Watu wenye wanawake wabaya utawajua..weka picha ya mwanamke wako akifikia nusu ya uzuri wa huyu mjane..najitoa JF
Ajabu hasikii la mnadi Swala wala la mtunza makopo MsikitiniWanaenda kwa huyo dogo, dogo masikio yamekuwa makubwa sana!!