Mke wa Mdude Nyagali afungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Jeshi la Polisi

Anasumbuka tu, bora amshukuru kwa yaliyotokea.
 
Tatizo mahakama zitapigiwa simu kuelekezwa namna ya kumaliza hiyo KESI.Au polisi watasema tunaendelea na uchunguzi na mahakama kusubiri uchunguzi.watanzania wangekuwa kama zisi wakenya polisi wangekiona Cha moto.
 
Kesi za namna hii zinaanika uchafu wa Nchi na ni Baraka sana
Ushahidi kama anao ndio wa kuupeleka ili ukubaliwe. Unaposhitaki unatakiwa kuwa na ushahidi.

Shida inaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…