Mke wa Mdude Nyagali afungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Jeshi la Polisi

Mke wa Mdude Nyagali afungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Jeshi la Polisi

Ushahidi Sasa, Police Watasema tu kama ambavyo husema siku zote, sio wao.
 
Brother acheni propaganda zenu mnawahamasisha wenzenu kufanya uanaharakati matokeo yake wanauliwa kikatili halafu familia zao mnazitekekeza kama mlivyofanya kwa familia ya Alfonse Mawazo huku Busanda. Hii sio sawa
Lissu yuko wapi, Nani alimhamasisha? ukiamua wewe kuishi kikondoo ishi hivyo, usijaze watu uoga wako, Magufuli aliua Wangapi na leo yuko wapi, ndio itakuwa huyu?
 
Dah! Kamuachaje rc? tena hawa angewafungulia kwa majina yao tu, na kila aliyeongea matope anaunganishwa tu mradi ilisikika kwa vyombo vya habari!
Ingekuwa sahihi kamati nzima ya ulinzi ya mkoa,ndio inajua alipo mdude
 
Somesha watoto wa mdude, Peleka hata sukari au chumvi kwa mke wa mdude.

Mnawahamasisha wenzenu wakifa mnabaki kumuachia Mungu
Kwanza kabisa mimi simuachii Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo.

Pili sina mwenzangu. Kiranga is a singularity.

Tatu, hujajibu hoja kwamba bila wanaharakati hata wewe usingekuwa na nafasi ya kuandika maneno ya ovyo hapa JF.
 
we unafikilia damu inaenda bure ? eeeeh tatizo hawajui ukiua nawe lazima uuawe iyo ndiyo universe law ... hakuna kukimbia hata uwe na cheo gani
Hii itasaidia kwa namna yyt ile kusomesha watoto wake?
 
Ushahidi kama anao ndio wa kuupeleka ili ukubaliwe. Unaposhitaki unatakiwa kuwa na ushahidi.

Shida inaanzia hapo.

..Mdude alishawahi kuvungua mashtaka dhidi ya Askari aliowatambua kwamba walimteka na kumtesa, na kesi ilikwenda mahakamani, lakini alishindwa.

..Kama suala ni kuifahamisha dunia kuhusu utekaji na utesaji basi muenendo wa kesi ya Mdude dhidi ya watesi wake uwekwe hadharani.

..Vilevile Mdude aliandika Kitabu akielezea kadhia na misukosuko aliyopitia, nashauri wenye uwezo wanunue kitabu hicho.
 
Kwanza kabisa mimi simuachii Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo.

Pili sina mwenzangu. Kiranga is a singularity.

Tatu, hujajibu hoja kwamba bila wanaharakati hata wewe usingekuwa na nafasi ya kuandika maneno ya ovyo hapa JF

Kwanza kabisa mimi simuachii Mungu kwa sababu siamini Mungu yupo.

Pili sina mwenzangu. Kiranga is a singularity.

Tatu, hujajibu hoja kwamba bila wanaharakati hata wewe usingekuwa na nafasi ya kuandika maneno ya ovyo hapa JF.
Familia ya Mdude unaisaidiaje?
 
Brother acheni propaganda zenu mnawahamasisha wenzenu kufanya uanaharakati matokeo yake wanauliwa kikatili halafu familia zao mnazitekekeza kama mlivyofanya kwa familia ya Alfonse Mawazo huku Busanda. Hii sio sawa
Kuna watu hawafanyi harakati, bali hufuatwa, na kuporwa mali zao na kuuawa wakisingiziwa kuwa ni majambazi, hao nao wanapinzwa na nani? Vipi wanaouawa kwa hospitali kutokuwa na wataalamu au kwa kukosa dawa?
Kuna watoto wa shule wamekufa juzi ajalini, walikuwa wanafanya harakati gani?
Uwe unajipuma kabla ya kuandika
 
Back
Top Bottom