gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 6,177
- 6,824
Kuna dunia ambayo watu hawauani?.Akili zenu zinawaza kulalamika tu kwawazungu.
Dunia itajua Tanzania Raia wanauawa
Dunia itajua Tanzania Raia wanauawa
njia za Mungu sio za binadamu na kuambia hakuna uovu ambao haulipwi na wewe unavojua kuwa hao wanaosomesha watoto wao nenda kaangalie watoto wao na waangalie wao utashangaa sana wanayopitia huu sio wakati wa kuua mtu yeyote YEHOVA MUNGU NA KRISTO WAPO HAPA DUNIANI ...Hii itasaidia kwa namna yyt ile kusomesha watoto wake?
Ila tunda lake ni haki na amani.Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
dua la kukuKila ubaya utalipwa tu
Kwani Ameuwawa lini? Unaweza kutoa ushahidi?Wewe ni miongoni mwa waliotaka mdude auawe, ushahidi wa nyuzi zako uko hapa jf, haya baada ya kumuua umepata faida gani zaidi ya kulamba nyayo za riziwani?
Iko siku yenu inakuja
Unajuaje naamini katika kusaidia familia za watu?Familia ya Mdude unaisaidiaje?
Endelea kuropoka tu ukidhani uko juu ya sheria kwa uchawaKwani Ameuwawa lini? Unaweza kutoa ushahidi?
Tatizo wanaharakati wa bongo wao wanatumia matatizo ya nchi kujineemesha uku wengine wakiumia.Hawajawai kua na ufumbuzi wa jambo lolote zaidi ya kusema mabaya ambayo wanaishia kuyasema kesho wamerukia jingine uku walioumia kupitia wao wakizidi kuongezeka.Hawafanyi harakati zakujenga zaidi ya kubomoa.Mkuu,
Bila ya uanaharakati hata wewe usingekuwa na uhuru wa kuandika ovyo hapa JF.
Tusisikie habari za kuchangisha michango. Maana Ninyi ni wapigaji tu.Wewe kidampa buku wa Lumumba kuna mtu amekuomba mchango?
Jibu swali acha ujinga wako hapa wewe.Endelea kuropoka tu ukidhani uko juu ya sheria kwa uchawa
Boss taratibu punguza spidi, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoniHivi uko timamu wee?
Yes na hili ndilo lengo kuu- move nzuri sana hii kwa Mrs Mdude.Dunia itajua Tanzania Raia wanauawa
Kwa hivyo Mdude kajineemesha hapo?Tatizo wanaharakati wa bongo wao wanatumia matatizo ya nchi kujineemesha uku wengine wakiumia.Hawajawai kua na ufumbuzi wa jambo lolote zaidi ya kusema mabaya ambayo wanaishia kuyasema kesho wamerukia jingine uku walioumia kupitia wao wakizidi kuongezeka.Hawafanyi harakati zakujenga zaidi ya kubomoa.
Nani akuombe mchango wewe kapuku?Tusisikie habari za kuchangisha michango. Maana Ninyi ni wapigaji tu.
Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Marehemu Mdude hakuhamasishwa na mtu alikuwa anawajibika kukisemea na kukifanya alichokiamini.hata wewe hupendi dhuluma sema tu unakufa kiume sorry kijikeBrother acheni propaganda zenu mnawahamasisha wenzenu kufanya uanaharakati matokeo yake wanauliwa kikatili halafu familia zao mnazitekekeza kama mlivyofanya kwa familia ya Alfonse Mawazo huku Busanda. Hii sio sawa
Najua mnaandaa mapigo ya kutafuna pesa.Nani akuombe mchango wewe kapuku?
Ukiuliwa kwa raha haufi? Au unazikwa angani, mawinguni?Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo
Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii