Mke wa Mdude Nyagali afungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Jeshi la Polisi

Shida mahakama za mama, majaji wa mama
Evelyn salt, mwaka 1996 ulikuwepo Duniani tayari au ulikuwa bado hujazaliwa.

Sasa bwana sikia hii,
Ndio kipindi ambacho Augustine Mrema ni wa moto hasa...ana mvuto, ana ushawishi, hashikiki...anaanika siri za serikali ya shemeji yake Ben mkapa ambae alikuwa ndio Rais wa wakt huo.

Hili jambo liliwaumiza vichwa sana viongozi waandamizi wa wakati ule kwasabu haikuwa tabia iliyozoeleka.
Maswali yalikuwa Mrema anapaje siri nzito za serikalini....likely itakuwa zilikuwa siri za kweli.

Kipindi hicho Director General wa Usalama alikuwa mchaga mmoja anaitwa Imrani Kombe....
Katika kutapatapa kujua ni nani Yuda, suspects zikamwangukia huyo mzee.

Kufupisha episode, siku fulani mzee anakwenda kula X-mas kwake uchagani, kumbe masikini hajui kuna secret mission imeandaliwa dhidi yake..
Police kumbe wakaanza kumfuatilia taratibu hadi Kilimanjaro....

Mzee alipigwa telo.. aka-surrender...kijeshi nasikia ukinyosha mikono pasi kukaidi, hustahili kushambuliwa....Vijana wakamiminia risasi..mzee akaanguka...anaitwa imrani kombe alikufa akiwa Boss wa TISS...kwa allegations za kuvujisha siri za serikali kwa mchaga mwenzie Mrema.

Mjane na watoto wa marehemu kombe walifungua kesi na serikali ilishindwa.
Wakalipwa mamilioni shilingi..
Ni kweli hela haiwezi ku-replace uhai, lakini ni afadhali umepata kuliko kukosa vyote.

Mimi naamini mjane wa mdude Mungu atamsaidia.
 
1996 nlikua darasa la kwanza.

Ahsante kwa somo, hii habari ya Kombe niliiosoma hapa jf ila sikujua sababu ya kuondolewa.....

Mungu wa Mbinguni asimame na mke wa mdude, nmhurumia.
 
Ndio hivyo sasa, baada ya Imran kombe nafikiri alifuata Epson Mwang'onda...sina kumbukumbu vizuri..
 
Kama wewe huwezi, kaa tu kimya kuliko kuwatweza wanaoweza, Mimi siwezi kuwa mwanaharakati, ila kamwe sitamtweza, kumsema au kumuumiza mwana harakati, hao ndio walifanya tukawa na uhuru. Nitasikitika sana kama wewe ni mwanaume
🚮🚮
 
Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.

Mbaya sana hii
Kwahiyo unashauri hii nchi iende hivyohivyo?
Nyerere mwenyewe alikua anatafutwa na wakoloni,sijui angewaza kama wewe ingekuaje?
Unamjua Patrice Lumumba au Mandela yule wa S.A?
 
Angetulia tu aangalie wanae, bure wamwondoe na yeye

Kwa hivyo Sasa hivi ruksa raia kuwa hata kama Hana kosa. Ndio maana wabunge mliowachagua wanawadharau na kuwaita kenge. Hamna maana. Yani mnahalalisha kuuawa kisa kuifungua kesi.
 
TLS wampe msaada halafu kwa hii kesi waweke benchmark na iwe mwisho GESHI kuteka watu na kuwapoteza ,inabidi TLS wawabane mpaka wateme BUNGO hao DIVISHENI FOO.
 
Keyboard warriors wamesababisha watu wanapoteza maisha wakati wao wamelala kitandani wanachapa ma no noo yao, lakn front line hakuna kitu
 
Sio Tanzania pekee, Kenya tumeona, DRC, USA, GER, UK nk

Uzuri wa Kenya IGP msaidizi kawekwa pembeni na aliyekuwa OCS kafunguliwa kesi ya jinai na yupo mahabusu. Huku kwenu Tanzania anayelia watu wanatekwa ndio anashighulikiwa, refer Gwajima.
 
Back
Top Bottom