Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Hata uozo wa mahakama utajianika tu,kama wataitupa au watasikiliza ila kuna jambo jema ndani yake maana itaibua uozo wa mahali fulaniMahakama sasa
Ova
Hata uozo wa mahakama utajianika tu,kama wataitupa au watasikiliza ila kuna jambo jema ndani yake maana itaibua uozo wa mahali fulaniMahakama sasa
Ova
Hivi uko timamu wee?Anasumbuka tu, bora amshukuru kwa yaliyotokea.
Hii sio hasara ya uanaharakati, uanaharakati sio ugonjwa wala jinai. Hii ni hasara ya kukithiri kwa udhalimu na umafia. Ndio maana wauaji hawa wanaua kwa kificho kwasababu wanajua wanatekeleza mauaji kinyume na sheria. Mauaji pekee yanayokubalika duniani ni yale yanayotekelezwa kwa amri ya mahakama kwa mujibu wa sheria.Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Homera bado wakati wake, hao wanaodhani wako matawi ya juu The Heque inawangoja hata watakapokuwa nje ya mamlaka yao. Uzuri watanzania wanaanza kuamka.... Kinga sikio.Homera anakosekanaje hapo?
Naona mnadanganyana na kumdanganya ili muanze kuchangisha pesa za kusema kulipa mawakili ili mzipige na kuzitafuna.Kesi za namna hii zinaanika uchafu wa Nchi na ni Baraka sana
HALAFU IKIJUWA INAFANYAJE BAADAE?Dunia itajua Tanzania Raia wanauawa
WAHUNI KATIKA UBORA WAONaona mnadanganyana na kumdanganya ili muanze kuchangisha pesa za kusema kulipa mawakili ili mzipige na kuzitafuna.
Wewe ni miongoni mwa waliotaka mdude auawe, ushahidi wa nyuzi zako uko hapa jf, haya baada ya kumuua umepata faida gani zaidi ya kulamba nyayo za riziwani?Naona mnadanganyana na kumdanganya ili muanze kuchangisha pesa za kusema kulipa mawakili ili mzipige na kuzitafuna.
Kumbe katiba inasema mwanaharakati yoyote anatakiwa avunjiwe mlango nyumbani kwake wampige na kumuua kisha kutelekeza maiti yake wanapopajua wao?Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Wewe kidampa buku 7 wa Lumumba kuna mtu amekuomba mchango?Naona mnadanganyana na kumdanganya ili muanze kuchangisha pesa za kusema kulipa mawakili ili mzipige na kuzitafuna.
na nyie mliompoteza mnapata faida gani kwa ujinga wa mdude?Wewe ni miongoni mwa walitaka mdude auawe, ushahidi wa nyuzi zako uko hapa jf, haya baada ya kumuua umepata faida gani zaidi ya kulamba nyayo za riziwani?
Iko siku yenu inakuja
hata akija kufanya ya karume atapata faida gani?sanasana naye akija kuwa kama baba yake wana mdude tu na yeyeKumbe katiba inasema mwanaharakati yoyote anatakiwa avunjiwe mlango nyumbani kwake wampige na kumuua kisha kutelekeza maiti yake wanapopajua wao?
Hongereni sana kisiwa cha amani.
Huyo mtoto wa Mdude miaka ijayo nae atakuja kufanya kitu kama alichofanyiwa Karume 1972 maana historia ina tabia ya kujirudia ila wengi mnasahau.
Mpaka unakaa hapo unajamba kwenye maji, jua kuna watu walikufa ili wewe uishi jinsi unavyoishi.Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
waliamua wenyewe lakini hakun amtu aliwatuma ujinga huoMpaka unakaa hapo unajamba kwenye maji, jua kuna watu walikufa ili wewe uishi jinsi unavyoishi.
Kila ubaya utalipwa tuna nyie mliompoteza mnapata faida gani kwa ujinga wa mdude?
Jifunze kwanza kanuni za uandishi ndio tunaweza kujadiliana.hata akija kufanya ya karume atapata faida gani?sanasana naye akija kuwa kama baba yake wana mdude tu na yeye