KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Who is mdude?
Kuwa mwanaharakati kwasasa inabidi uwe unajiweza especially kiulinzi na kiintelejensia.Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Keyboard warriors wamesababisha watu wanapoteza maisha wakati wao wamelala kitandani wanachapa ma no noo yao, lakn front line hakuna kitu
HALAFU IKIJUWA INAFANYAJE BAADAE?
Tatizo wanaharakati wa bongo wao wanatumia matatizo ya nchi kujineemesha uku wengine wakiumia.Hawajawai kua na ufumbuzi wa jambo lolote zaidi ya kusema mabaya ambayo wanaishia kuyasema kesho wamerukia jingine uku walioumia kupitia wao wakizidi kuongezeka.Hawafanyi harakati zakujenga zaidi ya kubomoa.
dua la kuku
Kuna dunia ambayo watu hawauani?.Akili zenu zinawaza kulalamika tu kwawazungu.
Siku ambayo Mwandishi wa habari Jamali kshogi ilithibitika aliuwawa ndani ya ofisi za dubai na hadi kesho hakuna alishitakiwa huwa nashangaa sana kijana aneingia kwenye harakati za siasa na yupo nchini against serikali na ana watu wa kumtegemea ni ajabu sana maana utaumiza familia yako bure and the rest no body cares itabaki story tu
Kupitia mitandao???
Who is mdude?
ErythrocyteKeyboard warriors wamesababisha watu wanapoteza maisha wakati wao wamelala kitandani wanachapa ma no noo yao, lakn front line hakuna kitu
Hii political sympathy mnayoitafuta kwa kubambikiza watu kesi huwa ni hatari sana!A Tanzanian Citizen
Wee! Wakenya hawandiki hivyo. Wewe ni MTz!Tatizo mahakama zitapigiwa simu kuelekezwa namna ya kumaliza hiyo KESI.Au polisi watasema tunaendelea na uchunguzi na mahakama kusubiri uchunguzi.watanzania wangekuwa kama zisi wakenya polisi wangekiona Cha moto.
jamii itawalipia, mradi imefahamika na ipo kwa record.Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii
Kawaida mkuu usipokufa kwa siasa unaweza kupitiwa hata na fuso au boda boda na ukaaga dunia tupo duniani kwasababu maalum sio kuamka asubuh na kupiga story za simba na yanga.Hasara ya uanaharakati. Unauliwa kikatili halafu familia yako wanateseka kama ilivyokuwa kwa Alfonse Mawazo.
Mbaya sana hii