Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

Kuna tofouti ya mwanamke mchawi na mwanaume mchawi.wote wana sifa moja ila mwingine hupenda kuua watoto wa wenzake
 
Anayeshika Bunduki na kuua ni nani? Achana na Mbowe we ccm lumumba fc
Anayeshika bunduki simjui ila ninachojua ni kwamba huyo mtekaji atawateka vijana wengi na mbowe anayewafanya hao vijana kutekwa atabaki na famili yake.
 
Wakuu,

Nimekutana na video ya mke wa Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed akielezea namna ambavyo polisi walimkamata na kumuua mume wake kwa kumpiga risasi nne.

Mama huyu anasema kuwa aliwaomba polisi wasimuue mumewe lakini polisi walimpiga mume wake risasi nne na hivyo mume wake alifariki dunia

Pia alisema kuwa mwanae aliona jinsi baba yake alivyouwawa kikatili na polisi.

Soma pia: Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

=========================================

Naomba niishie hapa. Nisije nikaandika zaidi nikaharibu.

Ila haya mambo yote huwa yana mwisho na mwisho wake huwa sio mzuri

View attachment 3166595
Daah nafasi tu uenyekiti kitongoji nguvu kubwa kiasi hiki kutumika?
 
Back
Top Bottom