Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

Sawa endeleeni kuua nyir mtaishi miaka milele
Mi sipo mkuu. Ninachowasihii wapinzani NI kuwa siasa siyo lelemama, siasa siyo kubembelezana. Ukishaingiza kwenye ulingo wa siasa kubali kutokwa na machozi jasho na damu.
 
Vijana nawaambia kila siku acheni kutumika na wanasiasa kesho utamkuta Mbowe ikulu wewe umeacha familia inateseka
Kama akina nelson mandela, akina nyerere na wengineo enzi za ujana wao wangekuwa na mawazo haya, tungekuwa chini ya mkoloni to date

Somebody has to do it, somebody has to pay the price
 
Kama akina nelson mandela, akina nyerere na wengineo enzi za ujana wao wangekuwa na mawazo haya, tungekuwa chini ya mkoloni to date

Somebody has to do it, somebody has to pay the price
Kajitoe kwa ajili ya watanzania kama unaweza.
 
Kajitoe kwa ajili ya watanzania kama unaweza.
Oh nilisha jitolea sana ujana wangu, kwa sasa muda umenitupa mkono.
If ningekuwa na nguvu like those days i would do it again

Tatizo la vijana wa upinzani, wanaamini ccm itatoka kwa kura, big mistake. Ccm wanacheza rafu, why na wao wasicheze rafu? Ndio language pekee wanayoelewa

So kualalmika hakusaidii
 
Hapo sasa umenena mkuu. Kaulimbiu ya siasa huwa ni ubaya ubwela. Ukiwa lelemama kwenye siasa utateseka bure.
 
Nani aliyetuaminisha? Kwa nini unadhani watanzania akili zao hazina uwezo wa utambuzi mpaka waaminishwe mambo na watu wengine.

Yaani watanzania ni mazezeta kiasi hicho?
Sijazungumzia watanzania nimewazungumzia wapinzani (chadema).
Wanaamini siasa ni rahisi kiasi hicho ndiyo maana wakifanyiwa vitendo viovu wanalalamika na hawapati Masada wowote.
 
Wewe Mama Samia kweli wewe ni Binadamu ? Wewe ni mama kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…