Mke wa mgombea wa CHADEMA Manyoni : Nilimwambia Polisi naomba usimuue mume wangu lakini alimpiga risasi nne

Kama akina nelson mandela, akina nyerere na wengineo enzi za ujana wao wangekuwa na mawazo haya, tungekuwa chini ya mkoloni to date

Somebody has to do it, somebody has to pay the price
Huyo wa kwanza sawa, huyo wa pili amefanya kipi cha kishujaa cha kuweza kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya ukombozi wa nchi yake.
Bora Mugabe na Samora.
Au kuacha ualimu baada kuhakishiwa hata kufa njaa au kupanda ndege kwenda UN?
Kwani kuna ulazima wa kubalansi?
 
Vijana nawaambia kila siku acheni kutumika na wanasiasa kesho utamkuta Mbowe ikulu wewe umeacha familia inateseka
Vipi unadhani huyo alitumika kisiasa kwa lipi mpaka akauawa?
Je ilishindikana kabisa polisi kumkamata na kumfikisha kituoni au mahakamani lakini wakaona vema wamwue?
 
Acceleration ya mlimani imeshatimu, saa hii imeanza acceleration ya kwenye mteremko. Ikiwa kuzuia gari kwenye mlima wanapata shida hivi, vipi kwa sasa ni mteremko.......?!?!?
 
Mkuu chukua maua yako kwa kuweka kila kitu clear. Vijana wanadanganywa Sana na mbowe ambaye familia yake haina njaa na watoto wake wanasoma kwenye shule za hadhi.
Wewe ni mpumbavu kabisa kama umeenda hujaelimika kabisa!!

Tuambie ni Kijana yupi wa CCM aliyeuawa na Polisi kisa siasa?

Tuambie kulikuwa na maana gani kuanzisha mfumo wa vyama vingi?

Aliyeuawa alikuwa amekosea wapi?
 
Hakuna haki inayotendeka dhidi ya mtu alieyeua mwenzake kwa makusudi. Inasikitisha sana kuona hizi taarifa za kuuana, kutekana n.k
 
Kule Marekani Trump alipopigwa risasi, Mkuu wa kitengo cha usalama wa siri alijiuzulu, nilitegemea na Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza awe tayali amemuandikia barua Rais wetu kuomba kujiuzuru
Kama Lissu na Sativa mpaka sasa uchunguzi wao "haujakamilika" na hakuna mtu aliyejiuzulu unadhani kuna lolote la ku-expect hapo?
 
Kule Marekani Trump alipopigwa risasi, Mkuu wa kitengo cha usalama wa siri alijiuzulu, nilitegemea na Kamishna Generali wa Jeshi la Magereza awe tayali amemuandikia barua Rais wetu kuomba kujiuzuru
Kama Lissu na Sativa mpaka sasa uchunguzi wao "haujakamilika" na hakuna mtu aliyejiuzulu unadhani kuna lolote la ku-expect hapo?
 
Wewe ni mpumbavu kabisa kama umeenda hujaelimika kabisa!!

Tuambie ni Kijana yupi wa CCM aliyeuawa na Polisi kisa siasa?

Tuambie kulikuwa na maana gani kuanzisha mfumo wa vyama vingi?

Aliyeuawa alikuwa amekosea wapi?
Huu ni mpambano baina ya mwenye nacho na asiyenacho na siku zote mwenye nacho hayuko tayari kuacha alichonacho kwa gharama yoyote ndiyo maana nasema viongozi wa chadema wajiandae kukabiliana na magumu siyo kutegemea mteremko na hatimaye kuja kulalamika pasipo na msaada.

Kama hujanielewa nenda hospitali iliyo karibu ukapimwe mtindio wa ubongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…