bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
Hata wa namba moja naye ni hivyo hivyoMke wa Mh lema nijasiri sana yuko kama mke wa Mh Lowassa wote ni wazuri na ni wasomi sana kitu ambacho ccm hawawezi .
swissme
Bora tuje humu maana kule siasani ni mitego tu ,kuota tu ndoto ni makosa
Ni ndugu huyu Baba yake Michelle na mama yake mke wa Lema ni kama babu na bibi sema ujomba ukachanganya ndio wakatokea vitukuu na mashangazi
unazunguzia yule aliyechezea vibao akalazwa MOI badala ya kupelekwa INDIA pale APOLO??Hata wa namba moja naye ni hivyo hivyo
Usitamani mke wa jirani yakoAisee kumbe mke wa kamanda ni mzuri
Dah...Huu siyo uchochozi kweli ???Aisee kumbe mke wa kamanda ni mzuri
Hivi alichapwa vibao?unazunguzia yule aliyechezea vibao akalazwa MOI badala ya kupelekwa INDIA pale APOLO??