Mke wa Mh. Godbless Lema na Michele Obama ni Ndugu?

Mke wa Mh. Godbless Lema na Michele Obama ni Ndugu?

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
667
Reaction score
1,850
1479362498992.jpg
 
kweli wamefanana buana!!!!ila sisi binadamu wote ni ndugu!
 
Bora tuje humu maana kule siasani ni mitego tu ,kuota tu ndoto ni makosa

Ni ndugu huyu Baba yake Michelle na mama yake mke wa Lema ni kama babu na bibi sema ujomba ukachanganya ndio wakatokea vitukuu na mashangazi

Hhahahahahahahahaaaaa
 
Mtumie mke wa Obama picha ya mke wa Lema ajue ana pacha wake huku maguni.
 
Back
Top Bottom