Mke wa Mh. Godbless Lema na Michele Obama ni Ndugu?

Mke wa Mh lema nijasiri sana yuko kama mke wa Mh Lowassa wote ni wazuri na ni wasomi sana kitu ambacho ccm hawawezi .

swissme
Ujasiri wa mke wa Lema ni upi? alishafanya kitu gani cha ujasiri? au sm yake kutumika kumtukana Gambo?

Afu em tuambie Elimu yake na Elimu ya Lema
 
Ujasiri wa mke wa Lema ni upi? alishafanya kitu gani cha ujasiri? au sm yake kutumika kumtukana Gambo?

Afu em tuambie Elimu yake na Elimu ya Lema
wewe kwenu kuanzia mama baba na dada zako wote hamna Elimu ya juu ndio maana unaona hivyo.

swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…