Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mama Regina Lowassa: Kwa hili UMENIGUSA SANA!Mke wa Mh lema nijasiri sana yuko kama mke wa Mh Lowassa wote ni wazuri na ni wasomi sana kitu ambacho ccm hawawezi .
swissme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Regina Lowassa: Kwa hili UMENIGUSA SANA!Mke wa Mh lema nijasiri sana yuko kama mke wa Mh Lowassa wote ni wazuri na ni wasomi sana kitu ambacho ccm hawawezi .
swissme
Ujasiri wa mke wa Lema ni upi? alishafanya kitu gani cha ujasiri? au sm yake kutumika kumtukana Gambo?Mke wa Mh lema nijasiri sana yuko kama mke wa Mh Lowassa wote ni wazuri na ni wasomi sana kitu ambacho ccm hawawezi .
swissme
wewe kwenu kuanzia mama baba na dada zako wote hamna Elimu ya juu ndio maana unaona hivyo.Ujasiri wa mke wa Lema ni upi? alishafanya kitu gani cha ujasiri? au sm yake kutumika kumtukana Gambo?
Afu em tuambie Elimu yake na Elimu ya Lema