Mke wa mtu alivyoharibu ndoto zangu

Mmmmh! Umenichekesha hapo kwenye kuruka ukuta ulitumia AGROBATI style au ulitumia mbinu gani ukuta haukuwa mrefu sana? vijana muache kutembea na wake za watu mtakuja kutolewa ubongo.
Mke wa mtu tembea naye mbali si kwenye nyumba ya mumewe.

Nijenge nyumba mimi, nitoe mahari mimi, nitunze mimi halafu wewe bila aibu unakuja kwenye nyumba yangu, unakula chakula changu na unamla mke wanguu
Hiiiiiii bhaghoshaaa!
 
Hii hadithi tulisoma wakati tupo chekechea kwenye kitabu cha chekechea (vidudu)kumbe bado mnaikumbuka😁😁😁
 
Hivi watu wengine huwa mna akili gani? Unafanya kitu kwa akili zako mwenyewe halafu baadae unaanza kumsingizia shetani?

THE DEVIL IS NOT AS TERRIBLE AS HE IS PAINTED.
 
Hivi hamjaona kama hii ni Chai?
😅😅😅
 
Mwenye makosa hapo ni mume wake kurudi bila taarifa siku nyingine akirudi bila taarifa usikimbie msubiri umuulize kwanini karudi ghafla bila taarifa
Nakumbuka hata wazee wetu kipindi chao wanapotoka kozi au misheni huko huwa wanatanguliza hata mabegi kwanza mnajua mkubwa wa kazi kawasili ye badae ndo unamuona aste aste anajirudisha home.
 
Jamaa
Jamaa anajua sema sema anakulia timing na mafuta mkuu🤣😂😂
 
Vijana angalieni mtauponza! Kuna watu hawana kumuachia Mungu wanakata tu umeme.

#Eneweiz cha mtu uliwa na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…