Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Mimi ni kijana nimeajiriwa moja ya kampuni kubwa hapa Tanzania.Nafanya kazi na mwanamke mmoja hivi na Mume wake.Wote wamenipokea kazini.
Mume wa huyo dada ni kicheche balaa ni mtu wa totozi.Hizo ni story nilipewa baada ya kukaa nae miezi miwili ofsini.Mke wake ashamfumania mara kibao na wanawake tofauti lakini aliishia kusamehe bila kusahau.
Maisha yaliendelea na yakabadilika baada ya huyo mwanaume kwenda kusoma PhD.Ofsini nikabaki na mke wake na working mates wengine.Kwa sababu ya utanashati wangu wanawake walipenda sana kunitania mambo mengi na kila mmoja alitamani kuwa rafiki yangu including wake za watu.
Nikawa na ukaribu na huyo mke wa rafiki yangu.Akawa ananisimulia mume wake wake asivyomfikisha kileleni na uchepukaji wa mumewe.Hakika nilimuonea huruma na kumpa pole.Kipindi hicho mi sikuwa na girlfriend ndo nilikuwa nimeachana nae kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu so nilikuwa na upwiru kama wote.Kadri anavyonisimulia mambo yake mimi zipu inatuna.
Shetani akanishawishi usiku wakat nimelala kwanini usimtafune huyu dada ambae mumewe yuko masomoni?Nikamuuliza shetani mbona naheshimiana nae nitamuanzaje?Shetan kwa upole akajibu anza kumchatisha sms za hovyo usiku.
Kweli bhana baada ya siku mbili nikaanza utaratibu wa kumchatisha usiku,nikawa namtania mambo mbalimbali akajaa.Kuna siku akanikemea kabisa akasema nimemchafulia chupi NISIRUDIE TENA NA NIACHE HAYO MAMBO.
Kesho yake kazini alikuwa ananionea sana aibu baada ya kugundua hilo nikasema hapa nimpe confidence awe huru.Usiku nikamchatisha tena nikaomba radhi kwa kumkwaza akajibu nisijali maana mume wake yuko bze nimpe tu kampani ana upweke.
Usiku ule ndo ulikuwa mwanzo wa balaa.Nilichat nae sms za mahaba mpaka saa tisa usiku.Akapiga simu huo huo usiku mnene akadai niende nimuingizie ameloana sana nikamuulza naendaje pale na kuna watoto ndani na wananijua?Nikwambia yeye aje gheto kwangu.Akasema anaogopa giza.Nikamwambia basi vumilia tufanye kesho.
Huwezi amini kesho yake kila mmoja wetu alibumba uongo na kuomba ruhusa kazini na tuliruhusiwa kila mmoja kwa wakati wake tukaenda kwake tukaingia chumba cha wageni wakati huo watoto wapo shule na hawakuwa na mdada wa kazi.Tulikulana siku ile mpka nyeti zikawaka moto huku wote tunatokwa na mijasho.Akasema hakuamin kana naweza show kwa kiasi kile maana mume wake ni kimoja chali ila mimi siyo ile kdogo nimwage ubongo.
Kuanzia siku ile ikawa ni mwendo mdundo kila siku watoto wakilala ananiita naenda wakati huo geti ameliegesha tu naenda nasukuma nazaman ndani.Tullifanya kwa siri kubwa sana kiasi kwamba hakuna STAFF aliyehisi hicho kitu kati yetu maana tulikubaliana kuweka distance kazini.
Siku moja nipo ndani mume wake akaja ghafla,nikasikia honi ya gari getini na bila shaka mume wake hakujua kama geti lipo wazi na rafiki yake yuko ndani.Aroooo nitoka ndukiii mule ndani mpaka watoto walistuka,Ninaruka ukuta fasta nikapaulse kwanza chini ili mume wake aingie ndani.
Alivyoingia tu chapu nikakimbia nikachukua boda nikazama gheto kwa wenge balaa.Nikawa nasikilizia kama atanipigia simu kwa lolote.Hakika nilikiona kifo maana jamaa namjua vizuri ana hasira balaa.
Kuanzia hapo sina hamu na mke wa mtu na nilijuta sana kwanini nilitembea nae.Hakika shetani ana nguvu nilikuwa nishaapa sitakuja nile mke wa mtu.
Mpaka leo wote ni marafiki zangu na mume hajui chochote.
HAKIKA MKE WA MTU NI SUMU KALI SANA.
Unakitafuta kifo kwa nguvu sana mjini