Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh mama totoo unampotezaaaa mke wa mtu sumu
Angekua anajiheshimu asingekuambia. Huyo anakutaka jiongeze mzee. Ila upige maziwa kwanza kabla hamja gegedanaKwa jinsi anavyojiheshimu sidhani kama anaweza ...
Sijawahi kuwa nae na utani mzito kama huu...Na wewe umeamini kwamba amekuota?, wale dada zetu waliokuwa wanaambiwa ''usiku silali, nikinywa maji nakuona kwenye glasi'' nao wataanzisha nyuzi zao humu
nxt atakuota unabanduliwa pia ulete mrejesho!Nimefanya nae mapenzi... Niko nae ofisi moja. Ameniambia live tumefanya ndotoni. Bado nawaza kwanini kaniambia.
And she was excited...
Mimi niliamua kuzuga...nikamwambia ni majini mahaba hayo.
Yamewahi kuyakuteni hayo!?
Kuweni muyaone wanangu.
Naichukua hii brother...Ni jambo LA kawaida mtu kumuota mtu anafanya nae mapenzi,wakat mwingine kwa wanawake inaweza kuwa athar ya majini mahaba nk,kukuhadithia inaweza kuwa ni kwa sababu tu ya mazoea na matani mliyonayo sio lazma awe anakutaka au anakuwaza,jibu ulilompa ni LA busara na ni vyema ukaepuka kishawishi chochote cha kumkaza Kwan madhara yake ni mengi lakin kumbuka pia ukikaza mke WA mtu na wako atakuja kukazwa tu.
Sharing experince ...Yaani wavulana wa siku hizi hamna makoromeo, yaani kakuambia ameota umeshindwa kuvumilia umeleta umbea mpaka huku, sasa akikupa si utaweka na kipaza sauti ulitangazie taifa zima?
Nimefanya nae mapenzi... Niko nae ofisi moja. Ameniambia live tumefanya ndotoni. Bado nawaza kwanini kaniambia.
And she was excited...
Mimi niliamua kuzuga...nikamwambia ni majini mahaba hayo.
Yamewahi kuyakuteni hayo!?
Kuweni muyaone wanangu.
Hapana huyu ni MTU mzimaMh mama totoo unampotezaaaa mke wa mtu sumu
Mkuu tuanzie hapa, kama mnafanya ndotoni hata marinda unaweza kufumuliwa ndotoni hii ni salama kwako. Kama ni physical kama yeye na mumewe wameukwaa anakukaribisha kwenye inner party kwa mapenzi yote. Tuletee mrejesho tafadhali.