Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anajiheshimu hasingekusimulia aliyo ota ndotoni. Ukiona kaota hivyo ujue ni kitu alichowahi kukiwaza sana kabla. Ndoto nyingi ni marudio ya mambo uliyowahi pitia au kuyafikiria sanaKwa jinsi anavyojiheshimu sidhani kama anaweza ...
Mpaka amekueleza hivyo bado unamuona anajiheshimu huyo! Amekuona domo zege kaamua ajiongeze bado wewe mbumbumbu utakuwa kavulana uongo mkuu??Kwa jinsi anavyojiheshimu sidhani kama anaweza ...
Nyie ndio baadhi ya wadau wanaosaidiwa lift (gari) unataka kumlamba mke wa ntu.Nimefanya nae mapenzi... Niko nae ofisi moja. Ameniambia live tumefanya ndotoni. Bado nawaza kwanini kaniambia.
And she was excited...
Mimi niliamua kuzuga...nikamwambia ni majini mahaba hayo.
Yamewahi kuyakuteni hayo!?
Kuweni muyaone wanangu.
HahahaNimefanya nae mapenzi... Niko nae ofisi moja. Ameniambia live tumefanya ndotoni. Bado nawaza kwanini kaniambia.
And she was excited...
Mimi niliamua kuzuga...nikamwambia ni majini mahaba hayo.
Yamewahi kuyakuteni hayo!?
Kuweni muyaone wanangu.
Nyie ndio baadhi ya wadau wanaosaidiwa lift (gari) unataka kumlamba mke wa ntu.
Cc: LadyAJ