Mke wa mtu ameniota

Hapo kwenye utanashati wala hujkosea mkuu. Na ni mcheshi mzuri sana. Ila mpaka mtu anasema kakuota tena mke wa rafiki mh. Ingekuwa miaka ile sijawa mtakatifu tungekua tunaongea mengine.
 
Soon mme wa huyo dada nae ataanza kukuota... Kuwa makinizee
 
Hajakuota huyo ila hiyo story ya ndoto anaitumia kama gia tu ya kukuingia,
Kua makini sana,
Usihofie hiyo akiba yako tu bali hofia pia afya yako,ukimwi upo na unaendelea kuua mamilioni ya watu.
 
Umenifumbua macho. Kiukweli kuniota sio tatizo na hajasema anachokitaka.ila nimeuliza maswali kule mwanzo kabisa kwenye post ya kwanza..
Hivi inasaidia kumbe?
kakuona upo upo anataka aopoe kichwa dawa ya mwanamke mwanamke mwenzie
 
MKUU UMENIKUMBUSHA INDIAN MOVIE FULANI YA Emraan Hashmi INAITWA THE TRAIN NDIO JAMAA ALITAKA KUTOLEWA KIAKIBA CHAKE KWA KUTENGENEZEWA FUMANIZI....KUWA MAKIN YAKHE
 
Lakini hebu wadada mtueleze. Kiukweli na nyie huwa inatokea unamuota mwanaume kama tunavoota sisi? Maana sisi tunaota na unapiga bao kabisa. Kama mimi nilishawaota amu Evelyn Salt Demiss Ulweso kapeace na wengine wengi tu.
kwa hiyo ulimuota omosexy hapo na wezere lake au?mimi sijawahi kuota zaidi ya mwanaume tena sikuwa naota tunananiii naota mengine
 
Kaa mbali na huyo mke wa mtu
(Trust Nobody )

Utafanyiwa kitu mbaya never seen before.

Mke wa mtu usimuamini hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…